Hakuna ubishi kuwa Magufuli utashinda Urais wa nchi hii, Nikiwa kama kijana niliyeamini nguvu kubwa walioweka wapinzani ingetusaidia lakini kwa bahati mbaya nimepoteza kabisa matumaini nao na kuyaamini maneno ya Katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kuwa hao jamaa ni SACCOSS.
Kila nilipomuangalia Mbowe akiwa anazungumza na mifano ya kitoto kuwa asiye na dhambi arushe jiwe....angefanya Busara kuwaomba radhi wafuasi wao kuwa miaka 8 walikuwa wakiwaaminisha uongo hivyo wanaomba radhi kwa kusema uongo na kumuomba radhi Mgombea wao waliyemsema sana kwa miaka hiyo yote (Lowassa).
Chakushangaza chama kimempata mtu kwa siku tatu wamemuamini na kumpa nafasi ya urais wakati Chama Cha Mapinduzi kimekaa nae kwa zaidi ya miaka 30 na hakijampa nafasi, hii ni aibu kubwa sana kwa Viongozi wa Chadema na Ukawa.
Magufuli ukishaingia Ikulu fanya jambo moja Nape aliwahi kusema ukimfukuza kichaa fukuza na makopo yake, Lowassa ana watu wake wengi wakubwa na wamekuwa wakimhujumu Kikwete tangia 2007 hivyo basi kwa sababu wanajulikana wafukuzwe wote ili nchi ibaki salama.
Hakuna siri kuondoka kwa Dk.Slaa CHADEMA ni pigo tosha na kifo cha CHADEMA ,Kinana aliwahi kusema ifikapo Oktoba Ukawa utageuka ukiwa.
haijawahi tokea duniani ndani ya siku tatu mtu kutoka chama kimoja kuhamia chama kilichokuwa na heshima namba moja upinzani kumpa mtu nafasi ya urais ..fikiria mara mbili si maneno ya kishabiki...Dk.Slaa amefanya umamuzi sahihi kabisa na tunampongeza kwa kuamua kuacha siasa maana ameona ni sawa na mwanadamu unayaminishwa shetani si mzuri kisha siku moja unaambiwa mzuri na ndiye mungu!
Think Twice kiundani Zaidi.