YOUR ATTORNEY
Member
- Feb 28, 2025
- 50
- 87
MobilePhysical address?
Niko wilaya ya Kinondoni MkuuPhysical address?
Nimeiona, though professionally si proper kuzungumzia kitu ambacho sijakiona na kuki-examine. Ila ukisoma scenario ilivyohadithiwa kwa ufupi, inaonekana Marehemu aligonga bodaboda na abiria, na kutokana na Hilo aliyeathirika alimfungulia Kesi marehemu maana inaonekana chombo Cha marehemu hakikuwa na bima (labda).Atupe ufafanuzi kuhusu kesi ya mjane anaetaka kuuziwa nyumba iliyoachwa na marehem mumewe aliykuwa anadaiwa fidia kabla ya kifo, Je kesi inalithiwa na kuendelea kama muhusika wa kesi hyo ambaye amefariki?
Naweza kupata Mawasiliano ya Simu ya mkononi..? ( Namba ya Simu)Mimi ni Mwanasheria (Wakili), wa Mahakama Kuu na Mahakama zote za chini. Uzoefu miaka 5+
Jinsia - Mwanaume
Maeneo ya ubobevu ni: -
Masuala yote ya Ardhi,
Mirathi na Ndoa,
Kazi na Ajira,
Mkataba na Biashara (makampuni),
Usuluhisi na Uendeshaji Kesi mahakamani,
Uandaaji nyaraka za kimahakama na kisheria na Utekelezaji Hukumu za Mahakama na Haki za binadamu.
Kadhalka ni Kamishna wa viapo na uthibitishaji nyaraka.
Napatikana Dar-Es-Salaam, ingawa Inawezekana kutoa huduma mahali popote Tanzania bara.
Karibuni tusaidiane kwa wenye changamoto kwenye maeneo hayo niliyoyataja.
Pia Niko tayari kwa Retainership kwa taasisi au kampuni zilizo tayari.
Email yangu ni logicm07@gmail.com
Nadhani siyo mahiri kwenye mambo ya uhainiSawa wakili msomi
vipi lissu anachomoka au hachomoki?