Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
hongera sn ndugu yng,nikumwomba mungu mana ajira zmeshakuwa kimeo sisi 2po ktaa mwaka wa2 sasa ila bado chenga ,usitegemee sana kuajiriwa ni vzr ukawa na altanative,,,,,,kwa ifupi jipange maisha ya chuo na kitaa n v2 vwili tofaut kabisa
hongera sn ndugu yng,nikumwomba mungu mana ajira zmeshakuwa kimeo sisi 2po ktaa mwaka wa2 sasa ila bado chenga ,usitegemee sana kuajiriwa ni vzr ukawa na altanative,,,,,,kwa ifupi jipange maisha ya chuo na kitaa n v2 vwili tofaut kabisa
dah ngoma 2 yearz, hata mimi aixee, atafute mtaji ajiegemeza kwanza kwenye ujasiriamali.
Ushauri wangu ni huu. 1. Vumilia kama kamishna wa fordha atatangaza kuanzisha makampuni mapya mwaka huu. Jiandindikishe ufanya mtihani ufaulu upewe leseni ya uwakala wa makampuni ya uwakala wa forodha. kama suala ni ushauri, wapo wengi na hawana kazi. vinginevyo tafuta kazi kwenye makampuni ya uwakala wa forodha.
heshima mkuu congo, kama umefuatilia majibu yangu kwamba nina "business plan" zaidi ya tatu, na kuanzisha kampuni ya kutoa mizigo bandarini ni mojawapo, ila tatizo linakuja hapa ili uanzishe kampuni utahtaji ofisi vitendea kazi ambavyo vinahtaji pesa pia nina wazo la kuingia ubia na mtu mwenye mtaji achangie pango la ofisi na vitendea kazi na mimi nifanye mtihani na nina.
Pia wazo lao la kufanya katika kampuni la uwakala wa forodha nalikubali asilimia mia, kama unamfaham mtu au unahtaji kunipa hyo nafasi mkuu sibhagui kazi.
Usihofu sana. Nakushauri kabisa kama una uwezo wa kufanya mtihani kuanzisha kampuni ya uwakala wa forodha achana kabisa na ubia. Unawatesa sana watu kwenye biashara hii. Ni-pm nikuelekeze.