Anahitajika mfanyakazi wa stationary awe na uwezo wa Kutumia microsoft application, internet, uwezo wa kukidhi mahitaji ya wateja kwa kiwango cha juu, awe na elimu ya cheti ya secretarial
Atayekidhi Sifa tajwa hapo juu atume cv na vyeti vyake kupitia allysulemani@gmail.com
Mkuu me nimesomea computer miezi 3 na uzoefu wa kazi ninao nimefanya kwa muda wa mwaka 1. Kama utakuwa interested na mimi napatikana kwny hii namba 0659178134 naishi dom
Mkuu me nimesomea computer miezi 3 na uzoefu wa kazi ninao nimefanya kwa muda wa mwaka 1. Kama utakuwa interested na mimi napatikana kwny hii namba 0659178134 naishi dom