Kazi ya nursing

Kazi ya nursing

Can she work ouside the state,example with doctors without borders?
Nadhani anaweza,, but kama akishindwa hata Mimi pia naweza maana nimesoma kozi hiyo so kama kuna connection tusaidiane ndugu
 
Hivi ulisaidika kweli mkuu mana wabongo kusaidiana ni kazi sana hasa ishu za channel!
Sikusaidika aisee.
Unajua katika kitu watu weusi huwa tunafeli ni kushindwa kuwa humble only for one minute.
Na Mimi nilihitaji information flani na sio kwamba yeye ndio anisaidie directly.
Mimi huwa napenda zaidi kujiamini na cv yangu bila referees,tangu nianze harakati za mambo ya kazi ni miaka nane Sasa na sijawah kutumia refa huwa napambana mwenyewe.
Wakati mwingine unaweza kushare mawazo na mtu halaf ukasaidiwa wewe na mtu ambaye umemdharau.
 
You can apply as a volunteer in dr without borders BUT nowdays an applicants shoukd have computer skills.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom