RachelNgowi96
Member
- Jul 16, 2019
- 7
- 3
Habarini za jioni wapendwa Kuna mdogo wangu anatafuta Kaz ya nurse ...ana cheti Cha nursing daraja la pili pia ana leseni... Ntashukuru Sana...kwa mawasiliano 0674968388
Ajira zimetoka tuelekezane mkuu kama umefanyaHabarini za jioni wapendwa Kuna mdogo wangu anatafuta Kaz ya nurse ...ana cheti Cha nursing daraja la pili pia ana leseni... Ntashukuru Sana...kwa mawasiliano 0674968388
Ajira Hizi hapaHabarini za jioni wapendwa Kuna mdogo wangu anatafuta Kaz ya nurse ...ana cheti Cha nursing daraja la pili pia ana leseni... Ntashukuru Sana...kwa mawasiliano 0674968388
Sema link yao inazingua kuomba online sijui shida nini?Aombe apa kwanzaView attachment 1160769
Changamkia zile zilizotolewa na serikaliMimi mwenyewe Nurse natafuta kazi, akipata mbili anisaidie moja mkuu nitashukuru
Wapii unakwamaaaSema link yao inazingua kuomba online sijui shida nini?
Nimefanikiwa kufungua account, Nika log in safi kabisa, sasa nikisha log in inaonesha uwanja mweupe tuhhh sioni chochote zaidi ya blank page,Wapii unakwamaaa
Sina vyeti, bado nadaiwa chuoniChangamkia zile zilizotolewa na serikali
Kuna sehemu za kujaza information zako palee upande wa kushoto
Utaona hiviNimefanikiwa kufungua account, Nika log in safi kabisa, sasa nikisha log in inaonesha uwanja mweupe tuhhh sioni chochote zaidi ya blank page,
Nimejaribu browsers za Chrome pamoja na Mozilla ferox.
Yeah, mkuuu, ndo hapo pako blank kabisa ndo nashangaa,Kuna sehemu za kujaza information zako palee upande wa kushoto
Mimi mwenyewe Nurse natafuta kazi, akipata mbili anisaidie moja mkuu nitashukuru
Sasa huo upande wa kulia upo blank tuhh, na picha hyo Uhuru na umoja pamoja na NAFASI ZA AJIRAUtaona hiviView attachment 1161549
Fungua kipengele kimoja kimojaa...Yeah, mkuuu, ndo hapo pako blank kabisa ndo nashangaa,
Sawa mkuu, ngoja nijaribie Duckduck au BingFungua kipengele kimoja kimojaa...
Au badili seach engine au. Platform
Either tumia chrome au mozzila
aise mwenyew na ttzo hilohilo kwenye ngoa haileti maneno hayo msaada plzSawa mkuu, ngoja nijaribie Duckduck au Bing