Kazi ya ndani

Kazi ya ndani

Watafuta kazi siku hizi wana kiburi sana,"tukikubaliana hadi malipo ndio tatoa mawasiliano yangu"...tatizo letu Watanzania tunashida ila tuna kiburi...huwa mnawaza kutongozwa tu...ukiwa unatafuta kazi ni muda muafaka wa kuacha namba hovyo hovyo,huwezi jua utapata wapi,....kwani ukitongozwa huwezi kukataa?...jifunzeni kuwa wanyenyekevu kipindi cha kutafuta kazi....!endeleeni kulala ndani mpo na simu zenu za smart mnazani kazi zinakuja just kwa kuringa namna hiyo....hivi ukijifanya mjinga alafu ukapata hiyo kazi kuna shida gani..."tatizo exposure"
Habar zenu. Nimefungua account hii kwa ajili tuu ya kutafuta kazi. Naomba ushirikiano wa kweli na siyo kejeli. Nipo dar nina tafuta kazi ya ndani lakini iwe ni ya kuja na kuondoka tuu. sintaweza kabsa kulala hapo. Kazi ambazo ni usafi wa nyumba, nguo, vyombo pa1 na kupika. Kama kuna mtoto mdogo, nitashindwa maana silali hapo. Kama una uhitaj huu naomba unitafute kwa msg private. tukielewana had malipo nitakupatia mawasiliano yangu. Mimi ni mwanamke na ni mkristo.
Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafuta kazi siku hizi wana kiburi sana,"tukikubaliana hadi malipo ndio tatoa mawasiliano yangu"...tatizo letu Watanzania tunashida ila tuna kiburi...huwa mnawaza kutongozwa tu...ukiwa unatafuta kazi ni muda muafaka wa kuacha namba hovyo hovyo,huwezi jua utapata wapi,....kwani ukitongozwa huwezi kukataa?...jifunzeni kuwa wanyenyekevu kipindi cha kutafuta kazi....!endeleeni kulala ndani mpo na simu zenu za smart mnazani kazi zinakuja just kwa kuringa namna hiyo....hivi ukijifanya mjinga alafu ukapata hiyo kazi kuna shida gani..."tatizo exposure"

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unataka namba ya aina gani?
Mbona mtoa mada ameweka na namba yake ya simu kwenye uzi wake.
Labda wewe utakuwa na yako mengine tu.
 
jaman kuweni serious bac....yaan kaz ninaihitaj lkn wanaokuja kweny cmu hko n shida tupu...
 
kw hyo ndo mmegoma kabsa kunipa kaz jmn...mwez sasa umeish eti..au mnataka vgezo gan niweke
 
jaman kuweni serious bac....yaan kaz ninaihitaj lkn wanaokuja kweny cmu hko n shida tupu...
🤣🤣🤣 aiseee nimecheka sana kwenye wekundu. Vipi dada salama huko kwenye cm

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Habar zenu. Nimefungua account hii kwa ajili tuu ya kutafuta kazi. Naomba ushirikiano wa kweli na siyo kejeli. Nipo dar nina tafuta kazi ya ndani lakini iwe ni ya kuja na kuondoka tuu. sintaweza kabsa kulala hapo. Kazi ambazo ni usafi wa nyumba, nguo, vyombo pa1 na kupika. Kama kuna mtoto mdogo, nitashindwa maana silali hapo. Kama una uhitaj huu naomba unitafute kwa 0746383748. Mimi ni mwanamke na ni mkristo.
Ahsanteni
Njoo kwenye group letu la WhatsApp Kuna kazi nimeiona.link ya kujiunga hii chini hapa.
 
Back
Top Bottom