Hi Wanajamii forum, awali ya yote namshukuru mwenyezi mungu kwa kutujalia na kuputa afya njema, Naomba msaada kwa yoyote ambaye anaweza kufanikisha au kunisaidia japo kibarua (kazi). Nina shahada ya utawala( Bachelor). Barua pepe mhassani84@yahoo.com. Naomba kuwasilisha.