Kazi ya kununua

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Heshima mbele wakuu,
natafta kazi ya kununua inayoendana na qualification zangu,
nimesoma BAEd,
nnko inservice kwa miak 9 ,
lakini kutokana na mazingira kandamizi sana ktk kazi naamua kutafta kazi nyingine,
ahsanteni.
 
una sh ngapi?
 
kwa masters haitoshi kabisa,
+ majukumu ya kifamilia niliyonayo

take risk mkuu..au kama vipi wekeza kwenye kilimo kinalipa sana,ukishatengeneza faida unaazisha mradi mwingine..kilimo ukitumia laki tano hadi nane,unaweza tengeneza hadi milioni sita nane..then unaweza anzia hapo.kazi ngumu sana kupata na hazitofautiani sana kipato sema wabongo tuna kasumba.
 
mkuu nashukuru, hiyo ya kilimo ni plan nzuri,
ila nishawahi kula loss kubwa kama mara 2 hiv kwenye kilimo,
ila mkuu nahisi nikipta kazi idara nyingine naweza kupata unafuu wa maisha na upendo wa kazi maake hap nna miaka 9 kazin lakin sina hata plot,
 
duh pole sana kaka,miaka tisa ya maumivu si mchezo..we ni mzalendo sana.naamini utakuwa ticha.

Kazi siku izi zimekuwa shida sana na zinanunuliwa kwa bei mbaya sana.ila nakushauri usitangulize kununua,ongea vizuri na watu watakusaidia tu,iyo hela iwe kama aksante tu.

Kuna members umu wapo wana connection kubwa inaweza kuwa zari,usikate tamaa.
 
ahsante sana mkuu,
 
Wakuu tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia naomba ani pm,
 
nenda vision house ipo sinza,hilo jengo utakaloliona huyo jamaa anamiliki xul kubwa na alikuwa anafanya kazi zain enzi hizo akaacha kazi akafungua kijiwe kuanza kufundisha tuition za watoto .......lakini in 7 years aliweza fanikiwa sana sana na ni succesfull,,weka pembeni hiyo baedu,,vaa uhusika wako,mafanikio mara nyingi huja pale mtu anapochoka na hali aliyopo na wewe nakuona ndipo unataka elekea huko.keep it up
 
take risk mkuu..au kama vipi wekeza kwenye kilimo kinalipa sana,ukishatengeneza faida unaazisha mradi mwingine..kilimo ukitumia laki tano hadi nane,unaweza tengeneza hadi milioni sita nane..then unaweza anzia hapo.kazi ngumu sana kupata na hazitofautiani sana kipato sema wabongo tuna kasumba.

Mkuu natamani sana kulima please fafanua ni kilimo gani kinalipa, cha umwagiliaji au kinachotegemea mvua. Na pia mazao gani yanaweza yakalimwa kwa umwagiliaji mtu akapata faida haraka au ni mazao gani yanaweeza kulimwa kwa kutegemea mvua yakamtoa mtu fasta. Please your idea maana na mimi natamani sana kufanya kilimo lakini sijajua nianzie wapi hasa kwa maeneo yetu ya Dar
 
mkuu mie huwa nalima ufuta,nna mashmba mkoani Lindi..ninalima kwa kutegemea mvua as bado sijaanza kuwekeza kwenye umwagiliaji bcoz inaitaji kujipanga zaidi..nilianza najaribu na sasa mtu aniambii kitu kuhusu kilimo as nakiheshimu to the maxmum..kwa hapa Dsm sioni nini cha kulima ila nakushauri take risk nenda katafute mashamba mikoani kwanza ni so cheap,alafu ata wasaidizi wake ni poa...nakushauri lima ufuta au vitunguu,nataka pia nijaribu vitunguu nimeona navyo vinalipa na nimepata konekshen kuna kisehemu wanaita Ilula uko Iringa..nafanya majaribio nikiona kinakubali basi mwakani nitaweka nguvu ya kutosha.
Lima mkuu hautojutia,ila utaona ulichelewa wapi.
 
Asante sana mkubwa ntafanya hivo maana hiz kazi nazo za kuajiriwa unalipwa laki sita huku unaniga tai kwenye daladala sio issue
 
nenda vision house ipo sinza,hilo jengo utakaloliona huyo jamaa anamiliki xul kubwa na alikuwa anafanya kazi zain enzi hizo akaacha kazi akafungua kijiwe kuanza kufundisha tuition za watoto .......lakini in 7 years aliweza fanikiwa sana sana na ni succesfull,,weka pembeni hiyo baedu,,vaa uhusika wako,mafanikio mara nyingi huja pale mtu anapochoka na hali aliyopo na wewe nakuona ndipo unataka elekea huko.keep it up

mkuu iyo kazi unayo m-direct sidhani kama inamfaa as haina security na ndio tasnia anayoikimbia...kwa experience yake angejaribu ata kutengeneza vitabu vya Q&A vinaweza kumtoa as amechelewa kidogo kustuka.
 
wazee minataka kulima mahindi, ufuta, alizeti, nishaulini vitanilipa?. plz plz michango
 
wazee kilimo kizuri sana, kwa kuanzia kupata mtaji coz ukima mahind 3-4months unavuna so kama umelima acre nyingi na mungu akakunyoshea mkono, maisha unatoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom