Villa Baviera
Member
- Nov 21, 2013
- 13
- 2
Kaka umesomea wapi hiyo course, na umemaliza lini? Changamoto za ajira zikoje, maana kozi hiyo mbona ni nzuri tu.
Kaka umesomea wapi hiyo course, na umemaliza lini? Changamoto za ajira zikoje, maana kozi hiyo mbona ni nzuri tu.
habari wana JF
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28,elimu yangu ni Bsc in mining engineering.kwa sasa natafuta kazi ya kujitolea hasa hasa ya kushika chaki.ninaweza fundisha masomo ya maths na physics.nimeamua kufanya hivi kwani ninahitaji saidia watanzania wenzangu kwani kukaa bure haisaidii,Availability yangu ni 2 weeks/ month(kwa mwaka mzima).nipo dar
Nawasilisha wakuu.
Wewe umesema sio kilaza fine. ni kipanga gani hajui shule zinazohitaji waalim Dar. hizi zote za kata wewe huzioni. eti wewe ckilaza. OPEN YOUR EYES AND EARS. SHUT YOUR MOUTH.
Na mi sio kilaza by the way nimeso mzumbe o level na advance level pia udsm nimepata 1st class pia sio kwamba sina kazi kazi ninayo ndo maaana nkasema 2weeks/month. Umeelewa nataka nisaidie watz
nenda shule yoyote ya kata iliyo karibu nawe mkuu