Kazi ya java script ni nini???

Bouja

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
173
Reaction score
127
Napenda niende moja kwa MOJA kweny mada huwa naona tu maneno JavaScript enabled and disabled lkn cjui kazi yake n nini hasa naomba kujuzwa wakuu
 
Napenda niende moja kwa MOJA kweny mada huwa naona tu maneno JavaScript enabled and disabled lkn cjui kazi yake n nini hasa naomba kujuzwa wakuu
Unayaona wapi hayo maneno?
 
Javascript ni programming language kwa ajili kurasa (web page) za kwnye mtandao.

Kazi yake kubwa ni kufanya page kuwa interactive.

Na browser nyingi huwa zina javascript engine.

Kwa mfano, ukiwa unatembelea humu jf kuna mambo ambayo unataka kuyafanya, kama vile ku-search baadhi ya topic.

Ukicheki sehemu ya kusearch haina sehemu ya kuandikia mpaka ubonyeze. Hapo ndipo kazi ya javascript inapokuja,

code za javascript zitatoa maelekezo kwa javascript engine kuwa ionyeshe sehemu kuandika text pale mtumiaji anapobonyeza search icon.

Mfano mwingine ni zile pop ups kama ushawahi kutana nazo, video players zilizotengenezwa kwa js nk.

Javascript ina kazi nyingi baadhi ni
1. Kuweka cookies kwenye browser.
2. Baadhi ya games zinatumia js
3. Kuifanya website iwe na muonekano mzuri kwenye devices zenye size ndogo na kuwa na responsiveness
4. Kuunda web applications
5. Kuview pdf files kwa browser
6. Animations
7. Kuvalidate data unazoingiza wakati kusign in email.
nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…