Kazi ya food science inahitajika

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu!

Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor of science in food science and technology degree nimemaliza chuo mwaka jana (2015), Nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta ajira lakini mpaka sasa bado sijafanikiwa, naamini humu wapo wenye kazi pamoja na makampuni mbalimbali naombeni msaada wenu nipo tayari kufanya kazi yoyote inayoendana na weledi wangu. Kitaani maisha magumu nipo Dar es salaam kwa ambaye yupo tayari kunisaidia anitafute kwa namba 0758 106 501 napatikana 24hrs.
 
Kuna uzi humu wa juzi tu wanahitaji food scientists utafute ujaribu bahati kijana
 
Back
Top Bottom