kazi ya DJ

nafikiri bado we uko analogy! kwa sasa mitambo inajiendesha yenyewe kwa digital hakuna cha DJ wala nini? au unataka kujua hizo program nikupakulie? hata ukitaka za kupiga 72hrs,zikiwa a jingle nk?

pole sana
 
nasaka kazi tempo ya uDJ niko na experience na 2&4 ways mixer na kutumia laptop na mixer,

Uko mkoa gani, kuna kazi hiyo Arusha, lkn uwe na uwezo wa kufanya club dj, uwe na uwezo wa kufanya ad lip kupagawisha mashabiki kwenye dance flow!

uwe na uwepo wa kucheza na DJ machine za pioneers,
ujue na kupenda muziki wa aina zote, usiwe bias katika upigaji muziki!

Kama upo na sifa hz ni-pm weka pia # yako ya simu kwa PM!
 
nafikiri bado we uko analogy! kwa sasa mitambo inajiendesha yenyewe kwa digital hakuna cha DJ wala nini? au unataka kujua hizo program nikupakulie? hata ukitaka za kupiga 72hrs,zikiwa a jingle nk?

pole sana

Raha ya kuendesha gari ni Manual bana si uvivu wa Automatic!!
 
nafikiri bado we uko analogy! kwa sasa mitambo inajiendesha yenyewe kwa digital hakuna cha DJ wala nini? au unataka kujua hizo program nikupakulie? hata ukitaka za kupiga 72hrs,zikiwa a jingle nk?

pole sana

Mkuu hebu tupe maelekezo hayo ya kidigitali. Hizo software tunazipataje?
 
niko dar sijawahi kupiga kupiga kwa dar nimepiga kampala wakati niko chuo na niko na uzoefu na nyimbo za east Africa
 
Mimi ni DJ ninayetumia kanda na redio ya dabodeka (LASONIC) kisha nafunga amplifaya na maspika

Unatisha mbaya aiseee!! wakati unamix lazima uwe na pen ili uwe una rewand au Kufoward kanda kwa kuizungusha kwenye pen!!!
 
nafikiri bado we uko analogy! Kwa sasa mitambo inajiendesha yenyewe kwa digital hakuna cha dj wala nini? Au unataka kujua hizo program nikupakulie? Hata ukitaka za kupiga 72hrs,zikiwa a jingle nk?

Pole sana
kwa hiyo mitambo au program na wewe utajiita dj.........
 
Mimi ni DJ ninayetumia kanda na redio ya dabodeka (LASONIC) kisha nafunga amplifaya na maspika

hawa ndio ma dj sasa ...anazungusha kanda na pen afu utasikia hapo tulia ushaufikia wimbo fulani
 
Why tempo unakibarua kingine ?, kama tempo jaribu kwenye Clubs tuma CV zako. Kama ya permanent ni Pm nikutonye ujaribu bahati kwenye redio moja hapa Bongo.
 
Why tempo unakibarua kingine ?, kama tempo jaribu kwenye Clubs tuma CV zako. Kama ya permanent ni Pm nikutonye ujaribu bahati kwenye redio moja hapa Bongo.

anaonekana ni mwanafunzi huyo ndio sababu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…