Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Simcard elfu10 haziwezi kukupa hata gramu1Anza sasa kuikusanya kiulaini.....
Kabla hawajashtuka...
View attachment 3284357
View attachment 3284359
Haba na haba…..Simcard elfu10 haziwezi kukupa hata gramu1
Kumbe!Anza sasa kuikusanya kiulaini.....
Kabla hawajashtuka...
View attachment 3284357
View attachment 3284359
Silver has the highest electrical conductivity among metals, followed by copper and then goldUkishajua hizi sifa kuu mbili za dhahabu basi matumizi yake makuu utayafahamu hapo hapo
i) Dhahabu ndiyo metali pekee isiyopata kutu hata ukiizika miaka 1000 ukija ni kuifuta tu vumbi inabaki mpyaa
ii) Dhahabu ndiyo metali pekee inayosafirisha umeme na joto kwa kasi kuliko zingine zote kwa sasa. Hapa ndo matumizi yake makuu yalipo.
Dhahabu Ukiichoma Ndiyo Kama Unaisafisha ZaidiDhahabu haiharibiki. Unaweza kuizamisha kwenye mchanganyiko wa acid na ukaitoa tena. Almasi yenyewe unaweza ichoma kwenye moto na kupata majivu kama ya mkaa.