K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,582 Reaction score 2,840 Jul 10, 2015 #21 Akademician said: hata kama hujapata kazi ingine mkuu? Click to expand... Hata kama hujapata kaz...we jaribu uone
Akademician said: hata kama hujapata kazi ingine mkuu? Click to expand... Hata kama hujapata kaz...we jaribu uone
S Shebie Skonge Member Joined Jul 10, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Jul 12, 2015 #22 Elo link hawakatai MTU ila mtu ndo atakataa kazi...
A AK 1 Senior Member Joined Jun 3, 2015 Posts 170 Reaction score 13 Jul 12, 2015 #23 Akademician said: Habari zenu wakuu. Hivi utaratibu wa kupeleka CV kwenye hizo ofisi upoje? Unaambatanisha na Cover Letter au ni kopi ya CV pekee? Pia naomba kutambua zilipo hizo ofisi kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani. Click to expand... peleka cv tu pale morocco
Akademician said: Habari zenu wakuu. Hivi utaratibu wa kupeleka CV kwenye hizo ofisi upoje? Unaambatanisha na Cover Letter au ni kopi ya CV pekee? Pia naomba kutambua zilipo hizo ofisi kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani. Click to expand... peleka cv tu pale morocco