Kazi-Wanaume TU!

Kazi-Wanaume TU!

Asante.
Nimekuelewa sasa.
Join Date : 14th July 2013

Duh kweli Simple minded people utawajua.
Haibiwi mtu humu.
Msone Meinkampf hapo juu.

Anzia kwanza kusaidia ndugu zako woote ndio ulete kazi hapa zisizo na profile.

Yaani kama ungejua kazi ya hii forum wala usinge post .Humu kuna watu Vichwa kweli,kila fani unayoijua wewe wamo humu.
Sasa kama unaona huna uwezo wa kuandika kazi gani na kama huna uwezo wa kujieleza utakwama.

Mie nikitaka kusaidia nasaidi kwa uwazi na ninachokiweza sio kuibia watu.
 
Ni kweli kabisa ,kuna watu wamejiunga jana wanakuwa wakali kweli?*?
Asante kwa ushauri wako.wasalimie ndg huko.
Jamani ingekuwa fresh kila aliejiunga humu apimwe akili maana humu wapo hadi watu wa mirembe nahis watu wangetakiwa wawe. Critical thinker and argumentation
 
Hahaha,
Nakwambia uelewa mdogo ndugu yangu.
Sasa umeelewa au umevami tu alivyoandika mwenzio hembu soma tena .
ITV wanatangaza kwa Sh:200,000,peleka tangazo lako kama unataka kusaidia watu upone kama kesho hawajai.Ila uwe ni mlipa kodi na ina usajili,sio kupeleka tu.
Ingekuwa ujanja au uelewa kujiunga mapema basi usingetuletea ujuha wa ajira zako zakilevi
 
huu nao ni utapeli kama utapeli mwingine.
Ngoja mie nimalizie kuchukua TIN ya kampuni hapa TRA kimara niachane na huu wizi kwa kigezo cha watu kukosa ajira.
Karibuni kwenye ofisi yangu jamani kwa shughuli za
-Land surveying
-Valuation
-Project/Programme Monitoring & Evaluation
-Estate Agency
-Property Development Consultancy
-Real Estate Investment Analysis
 
Ndg yangu hivi kweli mtu kuwa na uelewa mdogo ni dhambi?Sina uwezo kama wako ndugu yangu. Kweli una uhakika mimi ni mdogo wako?
Nimekubali kuwa nina uelewa mdogo-najitahidi,kujifunza.Pamoja na kuwa uelewa wangu ni mdogo,jitahidi kuandika kitu nielewe-sikuelewi unaposema"watu upone kama kesho hawajai"
Nakupongeza mlipa kodi.
Ningeweza kusema kitu lakini nimekubali ndg yangu
Zanzibar Spices umesema neno".....ujuha wa ajira zako zakilevi.....
Ningejibu tungeonekana tuko sawa.:tape:
Nakushukuru.

Hahaha,
Nakwambia uelewa mdogo ndugu yangu.
Sasa umeelewa au umevami tu alivyoandika mwenzio hembu soma tena .
ITV wanatangaza kwa Sh:200,000,peleka tangazo lako kama unataka kusaidia watu upone kama kesho hawajai.Ila uwe ni mlipa kodi na ina usajili,sio kupeleka tu.
Ingekuwa ujanja au uelewa kujiunga mapema basi usingetuletea ujuha wa ajira zako zakilevi
 
Bora umejisalimisha kama sio tatizo la Kiswahili"........niachane na huu wizi".....
Unatangaza biashara huku TRA hawakujui ndg yangu?Ingekuwa bora ungesema nitawakaribisha....sio waje sasa hivi kumbe si nia yako kufanya biashara bila kuwa na TIN.
huu nao ni utapeli kama utapeli mwingine.
Ngoja mie nimalizie kuchukua TIN ya kampuni hapa TRA kimara niachane na huu wizi kwa kigezo cha watu kukosa ajira.
Karibuni kwenye ofisi yangu jamani kwa shughuli za
-Land surveying
-Valuation
-Project/Programme Monitoring & Evaluation
-Estate Agency
-Property Development Consultancy
-Real Estate Investment Analysis
 
matapeli wakubwa nyie hakuna kazi ambayo mtu aambiwi ujuzi, na vyeti vyake vya uhalisia endeleeni kuwatapeli wajinga wenzenu
MTUSAMEHE,TUMEPATA IDADI KUBWA SANA YA PM.INATOSHA HATUTAJIBU TENA PM.Asanteni kwa waliotutumia PM na TUNAWASHUKURU kwa waliuotupa mawazo yao mazuri na mabaya.
====
Aina a kazi:Kawaida(general duties).
Elimu😀arasa la 7-kidato 4.
Sehemu ya kazi:Mkoa Pwani
Mshahara:150-200,000TZS
Mengineyo:Awe mwenye afya njema na uwezo wa kujitetea na wahalifu,nyumba atapewa chumba 1,chenye maji na umeme-atalipiwa,awe na wadhamini 2 wanaofanya kazi serikali.Kwenda kazini,hapahitaji nauli/usafiri.
Majibu ,yatatumwa kwa watakaoteuliwa tu.Majibu yatatoka tarehe 15.Aug.2013.Jiandae kuombwa picha kuthibitisha afya yako kwa nje kwanza.Hapahitajiki ujuzi kwa sababu kila kitu atafundishwa.
Njia ya kutuma maombi ni kwa PM tu,ili upewe maagizo ya ziada.
 
very sad!maneno yako uliyoandika ya bible na kuita watu wajinga haviendani.Ndio dunia-mungu akubariki!nimekubali.Ila kwa taarifa tu,kama wewe huna ndg yeyote basi ndg yako anaweza kuwa na ndg ambaye anafanya kazi na alianza bila ujuzi wala hakuihitajika kuwa na vyeti.Tumia lugha ya busara ndg yangu.kweli dunia hii kazi zote zinahitaji ujuzi na vyeti?*?
matapeli wakubwa nyie hakuna kazi ambayo mtu aambiwi ujuzi, na vyeti vyake vya uhalisia endeleeni kuwatapeli wajinga wenzenu
 
hata ukimshirikisha Mungu jua wazi wewe ni tapeli huwezi kuweka uzi humu halafu ukawababaisha watu ambao wanangaika kutafuta kazi kila iitwapo leo na wewe unabakia kuwa enjoy tu
very sad!maneno yako uliyoandika ya bible na kuita watu wajinga haviendani.Ndio dunia-mungu akubariki!nimekubali.Ila kwa taarifa tu,kama wewe huna ndg yeyote basi ndg yako anaweza kuwa na ndg ambaye anafanya kazi na alianza bila ujuzi wala hakuihitajika kuwa na vyeti.Tumia lugha ya busara ndg yangu.kweli dunia hii kazi zote zinahitaji ujuzi na vyeti?*?
 
Nimejua,lakini ndio reason ya wewe kujifunza kutumia lugha chafu wakati unamjua mungu au kujionyesha kuwa hayo maneno unajua kuyatumia?You are just............
hata ukimshirikisha Mungu jua wazi wewe ni tapeli huwezi kuweka uzi humu halafu ukawababaisha watu ambao wanangaika kutafuta kazi kila iitwapo leo na wewe unabakia kuwa enjoy tu
 
Bora umejisalimisha kama sio tatizo la Kiswahili"........niachane na huu wizi".....
Unatangaza biashara huku TRA hawakujui ndg yangu?Ingekuwa bora ungesema nitawakaribisha....sio waje sasa hivi kumbe si nia yako kufanya biashara bila kuwa na TIN.

Tayari ninayo,karibu uhudumiwe acha wizi wako na ushamba wa kutangaza vitu ukidhani wote humu hawana akili...shika adabu yako
 
Duh jamani yasije yakawa ya Mzaramu kumsema mwizi mpaka akafa.

Ladyfurahia na msani.
Hembu tuwamche huyu jamaa,anatupotezea muda.

Unajua humu kuna watu huwa wanaingia kutafuta nafasi au ajira kwa moyo mwema sana tu,na hali ya maisha kwa sasa ni ngum sana,na kulingana na hali unakuta mtu anakata tamaa kabisa,sasa watu kama hawa ndio hutumia advantage ya kutangaza nafasi za kazi wakijua kwamba watawanasa watu wa namna hiyo.Hii ni Dhambi kubwa sana.Hujui na wewe kesho utakuwaje.

Hawa ni sawa na wale waliondika mikopo fastafasta mara,mikopo nafuu nk,wanajua kwamba kuna watu waliokata tamaa watawanasa.
Mie huwa inanikera sana kujineemesha kwa Dhiki za mwenzio.
Hawa hawana tofauti na wale waganga waliondika kwamba Utajiri bila masharti,Fedha nje nje nk.

Inakera sana na dawa yao ni kuwapotezea mapema,na kama member yoyote humu ndani akimnusuru mwenzie na utapeli wowote basi ABARIKIWE na mungu yupo nae na atamlipa fungu lake kwa kumuokoa mwenzie.
 
Back
Top Bottom