Kazi-Wanaume TU!

Kazi-Wanaume TU!

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
MTUSAMEHE,TUMEPATA IDADI KUBWA SANA YA PM.INATOSHA HATUTAJIBU TENA PM.Asanteni kwa waliotutumia PM na TUNAWASHUKURU kwa waliuotupa mawazo yao mazuri na mabaya.
====
Aina a kazi:Kawaida(general duties).
Elimu😀arasa la 7-kidato 4.
Sehemu ya kazi:Mkoa Pwani
Mshahara:150-200,000TZS
Mengineyo:Awe mwenye afya njema na uwezo wa kujitetea na wahalifu,nyumba atapewa chumba 1,chenye maji na umeme-atalipiwa,awe na wadhamini 2 wanaofanya kazi serikali.Kwenda kazini,hapahitaji nauli/usafiri.
Majibu ,yatatumwa kwa watakaoteuliwa tu.Majibu yatatoka tarehe 15.Aug.2013.Jiandae kuombwa picha kuthibitisha afya yako kwa nje kwanza.Hapahitajiki ujuzi kwa sababu kila kitu atafundishwa.
Njia ya kutuma maombi ni kwa PM tu,ili upewe maagizo ya ziada.
 
Wekazi gani umeona inatoka kihuni namna hii,si ndio yale ya watu kuletwa huku Zanzibar na kutembezwa na vyombo ili wajilipe kwa commission.

Weka wazi kwamba mnashughulika nani?na kama mmesajiliwa ili hata kama mtu anandugu yake afuatilie usajili wenu,.
Sasa hivi dunia ni kijiji kupata data ni rahisi mno.

Maana hakuna sifa kama moja inayochekesha hapo,yaani ndio naiona tangu nazaliwa,kweli wewe PO kiboko.
Eti awe na afya njema ya kijitetea na wahalifu?kazi gani hiii

Halafu Experince yako ndogo sana kwenye masuala haya kama Personal Officer,we umeonawapi aina yakazi ikaitwa General Duties.

Jipange
 
Mhnn....
1. Kawaida ndo kazi gani? Maana kwa daktari, udaktari ndo kawaida, the same to Engineers, walimu, etc etc
2. Uwezo wa kujitetea na wahalifu..??? Hii ni kazi ya ulinzi au..???
3. Mwombaji ajiandae kuthibitisha afya yake kwa nje...???? Una maana gani..??
4. Maagizo ya ziada ndiyo nini..???? Au kuna kupikia watu vyakula huko..??? Au kuna kufua, kudeki, au una maana gani..???

Acheni kutumia advantage ya shida za watu....
 
Zanzibar Spices,kweli yote unayahitaji hayo?Kama sehemu ya kufanya kazi ni makuli na ni wanaume watupu, dada yangu/kaka yangu huyo mwanadada atayaweza hayo?Hujawahi kuona/kusikia ya kazi ya general duties? Si angalau ungeingia lkwenye internet ukaangalia kuliko kupoteza muda wako na maneno mazuri ya Znz?Asante lakini@Pole
Wekazi gani umeona inatoka kihuni namna hii,si ndio yale ya watu kuletwa huku Zanzibar na kutembezwa na vyombo ili wajilipe kwa commission.

Weka wazi kwamba mnashughulika nani?na kama mmesajiliwa ili hata kama mtu anandugu yake afuatilie usajili wenu,.
Sasa hivi dunia ni kijiji kupata data ni rahisi mno.

Maana hakuna sifa kama moja inayochekesha hapo,yaani ndio naiona tangu nazaliwa,kweli wewe PO kiboko.
Eti awe na afya njema ya kijitetea na wahalifu?kazi gani hiii

Halafu Experince yako ndogo sana kwenye masuala haya kama Personal Officer,we umeonawapi aina yakazi ikaitwa General Duties.

Jipange
 
ASANTE!Mbona yote unayouliza yameandikwa juu ndg yangu?Advantage ya shida za watu maana yake?nimetoa na kiasi ninachoweza kulipa bado unasema natumia advantage ndg yangu?Mbona ndg zetu wengi wanafanya kazi hizo ulizosema ni za ziada?Ubaya uko wapi mtu kupika,kufua au kudeki kwa 200,000 pm na chumba?Tuweni wakweli ndg zangu? Kidogo ulichonacho wape wanaokihitaji.Wewe 200K unaziona ndogo wasaidie basi wa TZ wachache wanaozihitaji kwa kuwalipa kwa kazi hizo ndg yangu.Maids wanalipwa 40K pm?*?Watu wako nje ya nchii hii wanalipwa 50USD pd?kwa kusafisha !choo Kwani mtu anavutwa kwa kamba?walio serious na wakani PM si nimewaeleza kila kitu? Na huyo aliyeomba kazi hii wa jina lako ni wewe au mambo ya kiswahili?Asante kwa ushauri.
Mhnn....
1. Kawaida ndo kazi gani? Maana kwa daktari, udaktari ndo kawaida, the same to Engineers, walimu, etc etc
2. Uwezo wa kujitetea na wahalifu..??? Hii ni kazi ya ulinzi au..???
3. Mwombaji ajiandae kuthibitisha afya yake kwa nje...???? Una maana gani..??
4. Maagizo ya ziada ndiyo nini..???? Au kuna kupikia watu vyakula huko..??? Au kuna kufua, kudeki, au una maana gani..???

Acheni kutumia advantage ya shida za watu....
 
Sawa asa hujasema kama hii kazi ya ulinzi, sare mnashona nyie au nikukatwa kwenye mshahara?
 
Na rejea na ninaungana na waliochangia hapa.
We usitaki kufundisha taaluma za watu na kuziharibu humu.
Uwezo wako wa kujieleza nimdogo sana na inaonekana kuna usanii hapo.Jua kwamba una deal na kizazi kipya kabisa,sio enzi za mwalim.

Mie nasema kwa kujiamini kwamba hakuna Job vacancy inayosema eti wnatafuta wafanyakazi wa General Duties,na kwa ulimbukeni etoi unnaandika :Kawaida(General Duties)we nani kakuambia tafsiri ya general Duities ni kazi za kawaida?Internet ipo nyumbani tangu nipo primary naijua kaka,sasa kuniambia ni search eti nitakuta kazi ya General Duities ni uzushi,au ndio tujue unajua sana wakati hamna kitu.

We sema ni kazi fulani,basi.
We unaseme sehem ya kufanya kazi ya maakuli sasa mambo ya kujilinda na wahalifu yanahusiana na nini?

Hivi huu ubabaishaji hii nchi utaisha lini?
Very simple issue.

Kazi gani
jina gani
Mmesajiliwa na wapi?
Mnashungulika na nini kwa ujumla.

Hayo ndio watu wanataka kujua na sio blaaa blaa kupotezea watu muda.
Naungana na wenzagu kuwa ni dhambi kubwa na wala haibariki shughuli ya mtu yeyote ambae anatumia shinda na dhiki za wenzie kama mgongo wa maisha.

Ushahid ninao jinsi vijana walivyoletwa Zanzibar na ahadi etel kumbe wanakuja kuuza vyombo,wantembe kuanzi asubuhi mmpaka jioni na wanahali ngum kupita malezo,mmoja mmoja akiptata nauli anarudi.Mnapamba matangazo ili mtese wenzeni.Na ninawasiwasi na Elim yako kwanza
 
Aina a kazi:Kawaida(general duties).
Elimu😀arasa la 7-kidato 4.
Sehemu ya kazi:Mkoa Pwani
Mshahara:150-200,000TZS
Mengineyo:Awe mwenye afya njema na uwezo wa kujitetea na wahalifu,nyumba atapewa chumba 1,chenye maji na umeme-atalipiwa,awe na wadhamini 2 wanaofanya kazi serikali.Kwenda kazini,hapahitaji nauli/usafiri.
Majibu ,yatatumwa kwa watakaoteuliwa tu.Majibu yatatoka tarehe 15.Aug.2013.Jiandae kuombwa picha kuthibitisha afya yako kwa nje kwanza.Hapahitajiki ujuzi kwa sababu kila kitu atafundishwa.
Njia ya kutuma maombi ni kwa PM tu,ili upewe maagizo ya ziada.

Aina ya kazi: Green Guard Security (Magamba militia) .
Elimu :UPE(darasa la 7).
Majukumu : kumwagia watu tindikali, kutesa watu (torturing) na kuchoma watu na vitu vyenye ncha kali.
Mshahar: Mauti baada ya dhambi .
Mengineyo: Awe anajua karateka na mapanga nsha nsha :fencing: , kupigana boxer :boxing: , kurusha vitu vyenye ncha kali sana:laser:, kurusha mirupuko 😛ainkiller: :target: kwenye umati wa watu
Majibu:Subiri utaona kwenye breaking news kwenye redio, tv, na mitandao ya kijamii.
 
Jamani mimi mbona natundikwa hata dhambi zisizo zangu?Mimi sijauliza mtu amekuwa na internet tangu lini?*?unasema Internet ipo nyumbani tangu nipo primary
Pia kuna watu tangu wako tumboni nyumbani kuna internet-so what?Tuwatukuze?
Ni kweli umepatia elimu yangu ni ya msingi tu-kwa hiyo?si unaona ninavyokutoa jasho Prof.uliye na elimu kubwa sana ?
Mimi umesema hamna kitu lakini unaonaje unavyopambana na hamna kitu mpaka inabidi umtishe kuwa asiseme kwa sababu ......................?
Lakini nakushukuru na kukuomba kama unaweza endelea kuwezesha binadamu wengine kadri ya uwezo wako na kama unavyo........

Na rejea na ninaungana na waliochangia hapa.
We usitaki kufundisha taaluma za watu na kuziharibu humu.
Uwezo wako wa kujieleza nimdogo sana na inaonekana kuna usanii hapo.Jua kwamba una deal na kizazi kipya kabisa,sio enzi za mwalim.

Mie nasema kwa kujiamini kwamba hakuna Job vacancy inayosema eti wnatafuta wafanyakazi wa General Duties,na kwa ulimbukeni etoi unnaandika :Kawaida(General Duties)we nani kakuambia tafsiri ya general Duities ni kazi za kawaida?Internet ipo nyumbani tangu nipo primary naijua kaka,sasa kuniambia ni search eti nitakuta kazi ya General Duities ni uzushi,au ndio tujue unajua sana wakati hamna kitu.

We sema ni kazi fulani,basi.
We unaseme sehem ya kufanya kazi ya maakuli sasa mambo ya kujilinda na wahalifu yanahusiana na nini?

Hivi huu ubabaishaji hii nchi utaisha lini?
Very simple issue.

Kazi gani
jina gani
Mmesajiliwa na wapi?
Mnashungulika na nini kwa ujumla.

Hayo ndio watu wanataka kujua na sio blaaa blaa kupotezea watu muda.
Naungana na wenzagu kuwa ni dhambi kubwa na wala haibariki shughuli ya mtu yeyote ambae anatumia shinda na dhiki za wenzie kama mgongo wa maisha.

Ushahid ninao jinsi vijana walivyoletwa Zanzibar na ahadi etel kumbe wanakuja kuuza vyombo,wantembe kuanzi asubuhi mmpaka jioni na wanahali ngum kupita malezo,mmoja mmoja akiptata nauli anarudi.Mnapamba matangazo ili mtese wenzeni.Na ninawasiwasi na Elim yako kwanza
 
Duh kweli Simple minded people utawajua.
Haibiwi mtu humu.
Msone Meinkampf hapo juu.

Anzia kwanza kusaidia ndugu zako woote ndio ulete kazi hapa zisizo na profile.

Yaani kama ungejua kazi ya hii forum wala usinge post .Humu kuna watu Vichwa kweli,kila fani unayoijua wewe wamo humu.
Sasa kama unaona huna uwezo wa kuandika kazi gani na kama huna uwezo wa kujieleza utakwama.

Mie nikitaka kusaidia nasaidi kwa uwazi na ninachokiweza sio kuibia watu.
 
Msituletee ya yule binti wa dodoma hakuna kazi ya kawaida tuu bila specification

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Na rejea na ninaungana na waliochangia hapa.
We usitaki kufundisha taaluma za watu na kuziharibu humu.
Uwezo wako wa kujieleza nimdogo sana na inaonekana kuna usanii hapo.Jua kwamba una deal na kizazi kipya kabisa,sio enzi za mwalim.

Mie nasema kwa kujiamini kwamba hakuna Job vacancy inayosema eti wnatafuta wafanyakazi wa General Duties,na kwa ulimbukeni etoi unnaandika :Kawaida(General Duties)we nani kakuambia tafsiri ya general Duities ni kazi za kawaida?Internet ipo nyumbani tangu nipo primary naijua kaka,sasa kuniambia ni search eti nitakuta kazi ya General Duities ni uzushi,au ndio tujue unajua sana wakati hamna kitu.

We sema ni kazi fulani,basi.
We unaseme sehem ya kufanya kazi ya maakuli sasa mambo ya kujilinda na wahalifu yanahusiana na nini?

Hivi huu ubabaishaji hii nchi utaisha lini?
Very simple issue.

Kazi gani
jina gani
Mmesajiliwa na wapi?
Mnashungulika na nini kwa ujumla.

Hayo ndio watu wanataka kujua na sio blaaa blaa kupotezea watu muda.
Naungana na wenzagu kuwa ni dhambi kubwa na wala haibariki shughuli ya mtu yeyote ambae anatumia shinda na dhiki za wenzie kama mgongo wa maisha.

Ushahid ninao jinsi vijana walivyoletwa Zanzibar na ahadi etel kumbe wanakuja kuuza vyombo,wantembe kuanzi asubuhi mmpaka jioni na wanahali ngum kupita malezo,mmoja mmoja akiptata nauli anarudi.Mnapamba matangazo ili mtese wenzeni.Na ninawasiwasi na Elim yako kwanza
Umemaliza mkuu sina cha kuongezea, achana na huyo tapeli wa mji anafikiri atadanganya watu wa staili hii.
 
Jamani ingekuwa fresh kila aliejiunga humu apimwe akili maana humu wapo hadi watu wa mirembe nahis watu wangetakiwa wawe. Critical thinker and argumentation
 
Aina a kazi:Kawaida(general duties).
Elimu😀arasa la 7-kidato 4.
Sehemu ya kazi:Mkoa Pwani
Mshahara:150-200,000TZS
Mengineyo:Awe mwenye afya njema na uwezo wa kujitetea na wahalifu,nyumba atapewa chumba 1,chenye maji na umeme-atalipiwa,awe na wadhamini 2 wanaofanya kazi serikali.Kwenda kazini,hapahitaji nauli/usafiri.
Majibu ,yatatumwa kwa watakaoteuliwa tu.Majibu yatatoka tarehe 15.Aug.2013.Jiandae kuombwa picha kuthibitisha afya yako kwa nje kwanza.Hapahitajiki ujuzi kwa sababu kila kitu atafundishwa.
Njia ya kutuma maombi ni kwa PM tu,ili upewe maagizo ya ziada.

We hujasoma barua toka Hong Kong nini?
 
kama sio wizi wa malori huu basi ukulima wa mboga mboga pale picha ya ndege
 
Back
Top Bottom