kazi vip jamani

kazi vip jamani

jamani jamii forums mbona kimya sana hatakujuzana hakuna sikuhizi? tuwetunajuzana
 
vipi kuhusu zile post za kibaha tanroads, na matokeo ya mtihani wa Tanroads Iringa vip yalishatoka?
 
Dah wakuu siku hizi kupata kazi ni ishu sana wenyewe hawatangazi na hata wakitangaza basi kuna walakini...
 
endelea na shule kama una uwezo wa kufanya hivyo. kazi nyingi sana mi sijui kwa nini wakenya wanakuja wanapata kazi sisi watanzania tupo tunaangalia. hizi kazi zipo katika makundi mawili. kazi za kubebana na kazi za yeyote mwene uwezo. hizi za kubebana nyingi ziko kwenye mifumo ya kitanzania( serikali na asasi zake zote). kazi za namna hii zinaenda kwa kubebana na ndo mfumo mkubwa kwa watanzania wengi .watu hawana uwezo hawajui kiingereza, computer lakini wanachukuana. hapo kama huna ndugu basi. kuna fungu la pili ambalo ni free kwa yeyote ila watanzania wengi kwa kuwa mfumo wa elimu wa kitanzania ni wa kijinga, hawana uwezo wa ku-compete na watu toka nje. mfano proficiency in english, computer application knowledge and understanding business issues ndo changamoto kubwa iko hapo. wewe kama huna link ng'ang'ana kupenya hili kundi la pili kuliko hilo la kwanza. ila ujue kazi za hili group la pili ni lazima uwe fity maana kazi zenyewe kama hujiamini, hujui kiingereza zitakutoa nishai kuanzia kwenye interview. mimi nilifundishwa namkenya jinsi ya kufanya interview. tangia hapo hakuna interview ambayo nilikuwa shortlisted halafu nikaikosa
 
Back
Top Bottom