kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
fiter mi mwenyewe mtoto huyo hr natamani ningepata kumjua hahahahahha- ila still nielekezeni wandugu
Utaratibu wameweka ila ni mgumu,na km ni mzembe wa kusoma na kuelewa hauwezi kuomba kazi zaoDuh aisee! Hizi kazi ni balaa! Inakuwaje watoe kazi wasitoe utaratibu wa kuomba??
kama unaona uvivu wa kusoma maelekezo ya kuomba kazi je unafikiri utaweza fanya kazi unayoiomba? umezoea kazi za vimemo weye
... na kuhusu utoto wa haja sasa kama hr ye kaweka utoto mbele unadhani itakuaje-!!!!.....................
washajulisha watu wao kuna hr 1 hapo ni noma kwa watoto ila wewe omba tu
fiter mi mwenyewe mtoto huyo hr natamani ningepata kumjua hahahahahha-
Utaratibu wameweka ila ni mgumu,na km ni mzembe wa kusoma na kuelewa hauwezi kuomba kazi zao