Wakuu mwezi uliopita kuna interview ya written ilifanyika ya nafasi mbalimbali TTCL.Hadi leo kimya, vipi kuna mtu yeyote mwenye taarifa?washaita watu kwa ajili ya usahili wa pili?

"kuna usahili ulifanyika tarehe 23.6.2014 kwa upande wa assistant accountant fixed assets na baada ya wiki mbili yaani mwanzoni mwa mwezi wa saba wakamwita aliyefaulu kuanza kazi"mwisho wa kunukuu
Anayesema wameanza kazi ni uongo. Ndio wametuma barua wa waajiri waliopita kuangalia kama uliwahi fanya kazi zamani. Watu wanategemewa kuanza kazi mwezi wa 9