duh mbona wanatuzingua aisee, bora wasingetangaza kabisa
guys kuweni wapole... hakuna mtu hata mmoja aliyeitwa kinyemela na ukweli ni kwamba wapo katika hatua za mwisho na mtaitwa. tra is tryng ts level best to be fair, equality and professionalismda mbona ni msiba kama ndio yatakuwa kama yale ya uhamiaji aise
:angry::angry:
guys kuweni wapole... hakuna mtu hata mmoja aliyeitwa kinyemela na ukweli ni kwamba wapo katika hatua za mwisho na mtaitwa. tra is tryng ts level best to be fair, equality and professionalism
Wakuu,
Ndo yaleyale ya Uhamiaji.
Hawa jamaa kazi ni kuajiri ndugu zao tuu !
Angalieni nyie kina Rished na wenzenu kina masamaki tunawaangalia !