kuna wilaya mpya nyingi sana na hazina ofisi bado.pia,watumishi wa ofisi hii ni wachache sana,ingebidi kuajiri hata watu elfu 5,bajeti tu ya jk hairuhusu.
kuna wilaya mpya nyingi sana na hazina ofisi bado.pia,watumishi wa ofisi hii ni wachache sana,ingebidi kuajiri hata watu elfu 5,bajeti tu ya jk hairuhusu.
..mkuu mantiki yangu ni kwamba secret service kama hawa hawahitaji kuwa na kundi kuuubwa kama jeshi la nchi kavu. walipaswa kujiimarisha kitechnologia zaidi. yale mambo ya kukamata wala rushwa kama tunadaka panzi tutaishia kudaka rushwa za elfu ishirini tu,wakati kuna matransaction ya mabilioni yanafanyika....
Hakuna kitu Kama hicho kwamba pccb wanaajiri wapishi wenye degree ila nauelewa kidogo Kuna degree tofauti tofauti hata mwenye degree ya tairong atakuwa investigation officer na asst invest mara nyingi ndo hutumia elimu zao mf. Dereva, ps, office attendats, it ila degree holders hufundishwa invest tu na degree zote wanachukua, nakubali kukosolewa