naomba kuuliza jamani hiyo transcript ni tofauti na statement of result? Ndo nimemaliza chuo mwaka huu kwa hiyo cjui. Na km sio huwa inatoka baada ya muda gani?

Transcript ni tofaut na statement of result Mkuu,
Inategemea na utaratibu wa chuo ulichosema,lakin mara nyingi huwa zinatolewa immediately baada ya matokeo ya mwisho ya mtihan wa kuhitimu elimu yako ya juu,na matokeo yako yawe mazuri usiwe na supplementary.
naomba kuuliza jamani hiyo transcript ni tofauti na statement of result? Ndo nimemaliza chuo mwaka huu kwa hiyo cjui. Na km sio huwa inatoka baada ya muda gani?
Kuna tofauti kubwa kati ya transcrpt na statement of result mkuu.. kwa sisi wa 2013 naona hii ya investign officers haituhusu. cuz wanataka hadi gamba lenyewe!!!
required qualificatns..
1. Degree/Advanced deploma Transcripts and certificates!! mkuu wewe unacho chet cha degree?? achilia hiyo transcrpt ambayo pengine wengine wanaweza wakawa nayo

Miminimemaliza chuo 2013, transcript ninayo, sema inategemeana na utaratibu wa chuo ulichosoma. kwa hiyo tunahusika mkuu wanataka transcript/certificate.