Pccb wana vitengo vyote kwanzia uhasibu, engineering, statistics, sociology, I.T, etc. Lazima upitie kozi ya miezi 6 kabla ya kuajiriwa. Mara nyingi huwa wanatangaza nafasi kwenye magazeti na mtandao
Waliowekwa PCCB wote ni mashushu wa TISS. Ni bora ukalielewa hili suala na ndio maana wala rushwa mapapa hawakamatwi ila dagaa ndo wanatiwa mbaroni. Kama we sio mzee wa TISS chance yako ni ndogo sana. Labda uwe mtoto wa kigogo umeenda kwa kimemo. We tafuta digrii yako ndugu uendelee na ujasiriamali wa kujiajiri utafute ugali na mkate wako wa daily.
Unaweza kuingia msafi wa maadili ukatoka umechafuka valu valu.
Achana nayo hiyo makitu.