Kazi Operator

sterter

Member
May 25, 2015
94
52
Mimi ni operator wa mashine hizi hapa,kama kuna nafasi tafadhali nijulishe
images%288%29.jpg
skid steer loader
images%287%29.jpg
Telehandler
images%282%29.jpg
Forklift
images.jpg
Bulldozer
jd_644k_hybrid_4_large.jpg
Wheel-Loader2.jpg
Wheal loader
 
Ulijifunzia wapi?

Una leseni?

Una uzoefu gani?

Unapatikana wapi?
 
Job training,nimejifunzia kazini nimefanya kazi mgodini kwa miaka tisa,ila sina leseni. Nina uzoefu tu wa kutosha
WEWE ULIKUWA MGODI UPI UNAFANYIA KAZI MSHINE HIZO BILA LESENI? AU ULIKUWA UTINGO? TAFUTA LESENI NDIO MAMBO YOTE.
 
WEWE ULIKUWA MGODI UPI UNAFANYIA KAZI MSHINE HIZO BILA LESENI? AU ULIKUWA UTINGO? TAFUTA LESENI NDIO MAMBO YOTE.
Nimefanya Barrick North Mara,migodi inataratibu zake za kufanya kazi na hizi machine na hizi machine hazina utingo kwenye hizo machine.
 
Mimi binafsi kuna rafiki yangu pia amesomea hizo machine, Anacheti cha mafunzo na Leseni, Ana uzoefu na kazi hiyo, amefanya kazi mgodi wa mwadui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom