Kazi nzito

Halafu wanawaita Mugambo thubutu yake watu wana hadi General
 
Hayo mabunduki msitarajie TEMBO wenu kusalimika.
Katibuuuuuuuuuu Kia-nana&brothers
 
Mungu atayaangamiza magaidi washezi hao! Yacheki mi macho yao imekaa kikatili tupu! Halafu eti yanaenda msikitini kuswali! Mizimwi tu hii wala si binaadamu kabisa! Haya majitu yanachangia sana watu wema kuuchukia uislamu kabisaaa! Mtu ukitaka kuoa kwa wachaga ukasema muislamu hupati mke ng'oo!
 
nani anawauzia silaha? angalia chini viatu vyao na linganisha na silaha walizobeba
 
Haaa ha haa haa haaaaaaaa! hayo makobasi walioyavaa duh!
 
Hao ni wrong doers, hawana uyhusiano na Dini.. Hata Dini imewakana na kuwatenga kiImani haiwakubali kabisa.!!
 

Kabisa mkuu! Natamani sana wausome huu uzi popote pale walipo!
 
Kuna uhusiano gani kati ya hizo kobaz na imani yao?
Pia Ubwabwa na imani yao.
 
binadamu mtu wa ajabu sana. yani hizo silaha za kumua binadamu mwenzie, hatari sana
 
They think they are strong boasting with their weapons! We are not bothered because we boast in the name of the Lord the creator of heaven and earth including every thing that is in it! They better watch their back!
 

Kwani Wachaga ndio wake wazuri Tanzania? Mbona wabovu sanaaa kwenye sita kwa sita ?

Labda ungetaja hata kabila jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…