simpowtz Member Joined Jul 23, 2016 Posts 10 Reaction score 3 Jul 23, 2016 #1 Mungu awaweke mahali pema wa mama wote waliotangulia mbele ya haki na walio dunian awalinde kwa kila kinga ya mabaya kw kuonyesha upendo wao kw watt zao mpaka kua mastaaa
Mungu awaweke mahali pema wa mama wote waliotangulia mbele ya haki na walio dunian awalinde kwa kila kinga ya mabaya kw kuonyesha upendo wao kw watt zao mpaka kua mastaaa
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Jul 24, 2016 #3 Ni mtangazaji wa redio itakuwa Ruge alimgomea matenite livu
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,512 Reaction score 12,175 Jul 24, 2016 #4 Ni mbunge wa Brazil