Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Nao ni binadamu kama sisi jamani wana ugua, wana kufa, wanafiwa, wana cheka, wahuzunika wanalia kama wanadamu wengine kuwa polisi sio exemption ya kuwa na magonjwa na matatizo ya kidunia.
Baada ya hapo atasahau kitu kidogo? Haya ni maigizo!Jamani,
Nimekuwa nikiangalia picha kadhaa tangu zile za Loliondo hadi hii ya Tabora. Nimeona askari wetu ambao ni binadamu kama sisi wakienda kupata vikombe wakiwa kwenye magwanda. Swali, je hawa askari wanatumia magwanda kupata short-cut wasisimame kwenye foleni, au wakishapata vikombe wanaendelea kuangalia usalama wa raia? Utaona hapo kuna askari wangapi vile.........!!
Nawakilisha.
Baada ya hapo atasahau kitu kidogo? Haya ni maigizo!