Samahani jamani mwenye e-mail addres ya Buzwagi Gold Mine, i wish to go there for I.T.
Asante sana ila mm tayari ninakazi lakini ukweli napenda sana nipatekazi mgodini maana nahisi huko ndo nitakuza ujuzi wangu...mara dufuunajuaje kama hawakuchukua mtu hata mmoja? unawafahamu wote walio-apply na majibu waliyopewa? pili, ni kawaida kabisa kuona post ya kazi inatangazwa gazetini wanaandika ''re-advertised, those who applied previously need not apply again'', inawezekana waliokuwa interviewed hakuna waliyeridhika naye. kazi utapata, usiwe na haraka sana. kwenye ulimwengu wa ajira, unatuma applications 30, kati yake tano ndo unaitwa, mbili mnashindwana mafao moja ndo unaichukua. Mungu wa haki yupo, aliyokuandalia itakuja tu, jiandae!kuhusu ajira, inategemea strategy yao kwa wakati huo, lakini ukipata trainings hizi unakuwa kwenye position nzuri ya kupata ajira ya kudumu. kwenye madini turnover ya wafanyakazi ni kubwa, na ww ukikaa kidogo tu utapata greener pastures na kuanza mbele!!
Asante sana ila mm tayari ninakazi lakini ukweli napenda sana nipatekazi mgodini maana nahisi huko ndo nitakuza ujuzi wangu...mara dufu
Samahani jamani mwenye e-mail addres ya Buzwagi Gold Mine, i wish to go there for I.T.
Asante sana ila mm tayari ninakazi lakini ukweli napenda sana nipatekazi mgodini maana nahisi huko ndo nitakuza ujuzi wangu...mara dufu
Asante mkubwa kwa kutujuza ma email yao nitatuma ovyohovyo tu.
Jamani barrick saivi wamebadilisha jina ni african barrick je na email adress zao zico vile vile au na zenye zimebadilika na kama zimebdilka zikoje? Nisaidien
Jamani barrick saivi wamebadilisha jina ni african barrick je na email adress zao zico vile vile au na zenye zimebadilika na kama zimebdilka zikoje? Nisaidien
Waheshmiwa na wadau wa safu hii mimi natafuta kazi, nadili na plant operation yeyote anayezijua campuni au mwenye campuni yke mimi ni operater wa motor grader na front end loader na vyeti vya veta ninavyo.