Kazi kwenye NGO hizi

Kazi kwenye NGO hizi

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,754
Asalaam waungwana
Humu ndani una anaefanya kazi kwenye mojawapo ya hizi NGO
waterred
kihumbe
aghakan
japhalego
 
Wapendwa naona niende straight to the point,to be honest napenda sana nije nifanye kazi kwenye ngo yeyote inayojihusisha na masuala ya ukimwi, but sijui pakuanzia na ili ufanye kazi huko inakubidi uwe na vigezo gani au ukitaka kuomba kazi unafuata process gani?naombeni msaada mnaojua na kama kuna yeyote humu ndani anaeweza kuniunganisha huko nitashukuru sanasana nduguzanguni.
 
Back
Top Bottom