WILDCARD-Tatizo lako haujaamua na haujui unataka nini, ni bendera fuata upepo na CCM wanafahamu mpo wengi kama ninyi ambao hamjui mnataka nini, wao wanajua wanataka nini ndio maana wamejiwekea mfumo wa kufanya ufisadi na wapo katika mapambano ya kuulinda mfumo huo. Karagabao.