Kazi kweli ipo mjini Dodoma huko

MziziMkavu,,Kuna maswali mengi sana wakati mwingine najiuliza nashindwa kupata majibu!Hivi kwa nini inaitwa rasimu ya Warioba?Hivi rasimu ya kwanza ilikuwa na mapendekezo ya serikali ngapi hadi serikali na chama twawala wasiipinge kwa nguvu namna hii?Hivi ni kweli maoni ya ofisi ya waziri mkuu,ofisi ya makamu wa raisi na ofisi ya raisi yalikuwa kupendekeza serikali tatu kweli kama tunavyosikia?Sheria ya kumbukumbu ni miaka 50 kama sijakosea,kwa nini serikali ikimbilie haraka haraka kuifunga tovuti ya tume ya kuratibu maoni ya katiba mpya?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…