kazi kazi...usichague

kazi kazi...usichague

hilo nalo neno!!!! lkn graduates wengi wanakua na ulema wa akili kuhusu ajira
 
Unaweza kubeba tofali?..nina kampuni ya kufyatua tofali. Kazi ni kubeba, kumwagilia,kushusha na kufyatua matofali. Kwasiku sh.3000 hadi sh.5000
 
Elimu hailipi,hali ni mbaya sana,yan graduate akafyatue tofali!!
 
We una degree unachagua kazi? Kipimajoto kna degree nying knafanya kazi kwapani..

ha ha ha ha ha aaaaa....! yaan sikuwa mpango wa ku-log in wakati napitia hii page lakini hii post imwenifanya ni-log in 2 kwa kweli....,
kuna watu wana vituko sana humu ndani aisee!
 
Back
Top Bottom