Kazi Kazi Kazi

Kazi Kazi Kazi

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,293
Reaction score
583
Tunatafuta kijana wa kike au wa kiume ambae anabidii ya kujiendeleza, muaminifu, sharp, mwenye uwezo wa ku manage kazi tofauti tofauti na kuji manage mwenyewe, awe highly organized.

Huyu atakuwa personal assistant wa Mzee Abdul.

Mzee Abdul ana uzoefu wa miaka mingi sana wa management kwenye kampuni kubwa kubwa za Kimataiafa, kwa sasa anafanya kazi zake binafsi kutokea nyumbani kwake.

Yeyote anaetaka kujiendeleza binafsi na kupata uzoefu wa hali ya juu ajitokeze.

Kazi ni ya ku manage na kufatilia shughuli zote za Mzee Abdul za siku hadi siku.

Kazi ina constant pressures za deadline na inahitaji mtu ambae yupo organized, ataeji organize mwenyewe na ku organize shughuli za Mzee Abdul.

kazi zenyewe zitakuwa za kila aina, kuanzia kufatilia documentation, kufatilia mauzo, kufatila manunuzi, kufatilia matengenezo, ku coordinate na mafundi tofauti tofauti, wa ujenzi, wa magari, wa vifaa, kushauri na kutenda in a timely manner. Ni total general hands on management.

Malipo yatategemea na uwezo wako. No limit.

Kama unajiona unaweza, wasiliana na Mzee Abdul 0756803528 au tuma cv yako kwa email: abdulghafurtz@gmail.com

Hili tangazo limetolewa na Mzee Abdul na si Bi Zainab.

Kama una maswali yoyote uliza hapa nitakujibu, sitaki waste of time.

Nipo straight forward na sipendi longolongo.

Abdul
 
hizo shughuli zenu mnazifanyia mkoa gani
 
je munahitaji mtu mwenye elimu gani

Elimu yoyote mradi ajuwe management, awe anaweza kuji organize, awe anajuwa kuweka records na kuwasiliana kwenye mitandao, awe anajuwa English, awe anaweza kutumia japo software za ofisi kama MS words na Excel.
 
sema angalau minimum salarly mkuu tujue

Salary itategemea na uchapaji kazi wako.

As a manager, ukiuza bidhaa kuna commission, uki meet target kuna bonus.

Kwa ufupi tunatazama candidate na uwezo wake.

Tunategemea mchapa kazi na si mtu wa kuanza kufundishwa kila kitu. Mtu ambae akielekezwa kitu anaanza mwenyewe kujituma na kukifanyia kazi.

High caliber higher pay, low caliber lower pay.
 
Napenda kuwaeleza kuwa mtu kama hajuwi namna ya kutumia japo ms words na excel asijihangaishe.

Na yule asieweza kuandika japo barua kwa Kingereza fasaha asijihangaishe, kwani moja ya kazi ni ni ku correspond na nchi za nje.
 
Nyie ni kama wale XXmarketing, hamna kitu mnatesa vijana tu, wakuu kazi zenyewe ni za kutembea juani kuuza bidhaa zao, iko poa kama mtaipenda, nakumbuka nlipotoka chuon nliwahi kufika pale ila nkashindwana nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom