Kazi! Kazi! Kazi!

Kazi! Kazi! Kazi!

Kizitonga

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
32
Reaction score
0
Habari zenu wanaJF!
Mimi ni Graduate wa SOCIOLOGY,lakini tangu nihitimu sijapata hata mchongo wowote angalau hata sehemu ya kujitolea.
Ndugu zangu naomba kwa yeyote mwenye msaada anisaidie!
Pamoja na hiyo Bachelor nina Cheti cha Computer,Data processing and Analysis,Business plan and proposal Development na Chinese Language.
Tunaweza kuwasiliana kwa nikojust@yahoo.com au 0789 143751
Nina uzoefu kwenye Researches, Data Entry na Uelimishaji rika.
Tafadhali Msaada wenu ni mali kwangu.
Natanguliza shukurani!
 
Daah kichwa cha habari kimenistua. Any way check na washkaji hawa DML utafanikiwa.
 
Habari zenu wanaJF!
Mimi ni Graduate wa SOCIOLOGY,lakini tangu nihitimu sijapata hata mchongo wowote angalau hata sehemu ya kujitolea.
Ndugu zangu naomba kwa yeyote mwenye msaada anisaidie!
Pamoja na hiyo Bachelor nina Cheti cha Computer,Data processing and Analysis,Business plan and proposal Development na Chinese Language.
Tunaweza kuwasiliana kwa nikojust@yahoo.com au 0789 143751
Nina uzoefu kwenye Researches, Data Entry na Uelimishaji rika.
Tafadhali Msaada wenu ni mali kwangu.
Natanguliza shukurani!

Tunga miziki hata kama kuimba hujuwi wape madogo lyrics afu mgawane dau.
 
aiseeeee babayngu embu ni pm 2zungumize jinsi ya kulima kwa kutumia mbinu mpya nimechoka jembe la mkono
 
pole mkuu, endelea na job search utapata, the longer to spend searching for a job the greenest job that pay you will get, keep on, achana na wanaojibu kw k kejeli hawaelewi chochote,

utafute lkn ujue hata kutafuta kazi ni kazi pia, aleitwa na mjomba mjomba akianguka, hata yeye atakufa, wewe hata ukifukuzwa kazi unajua upate wapi kazi,

go go go usichoke:help: omba sama msaada
 
mkuu kulikua na tangazo humu linataka waliosoma social work na related field sema deadline ilikua jana mkuu, daah halafu halikua na comment hata moja..ila usichoke mkuu...
 
Acheni ku-comment kejeli wazee kama huna cha maana we kausha tuu coz kupata au kukosa ajira ni mipango ya mungu jamani! Nyie mnaocomment kejeli maisha mnayajua mnayaskia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom