Kazi katika ofice ya mkuu wa mkoa

Kazi katika ofice ya mkuu wa mkoa

muku

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
312
Reaction score
80
Ndugu zangu naomba kuuliza hivi katika office ya mkuu wa mkoa mtu akiwa anafanya kazi kama system analyst ni vitu gani anavyokuwa akivifanya maana naona kama nchi yetu bado iko nyuma katika mambo ya technolojia hasa mikoani.....na je kuna marupurupu kweli zaidi ya mshahara?kuna kijana kapata huko ndio aliniuliza nikasema ngoja nilete mada humu maana hakuna kinachoshindikana humu.
 
Muku, usitudanganye kuwa kuna mtu amekuuliza, wewe sema kuna jamaa amepata kazi hukoo. Sasa unataka kujua kipato chake kwa mwezi maana unajua ukimuuliza hawezi kukueleza ukweli.

Acha kufuatilia mambo ya siyo kuhusu. Nasema hivyo kwa kuwa yeye hawezi kukuuliza wewe mambo ya posho na salary kwa kuwa wewe haupo ktk system. Pia mtu ukiajiriwa, barua yako ya ajira inaeleza kila kitu. Salary na posho.

Onyo: Acha kupekua maisha ya watu kwani hayatakusaidia.
 
Mmbha! Mweee, Umemaliza Ndugu, Yaan Haitaj Comment Nyingne. Imemtosha,
 
Muku, usitudanganye kuwa kuna mtu amekuuliza, wewe sema kuna jamaa amepata kazi hukoo. Sasa unataka kujua kipato chake kwa mwezi maana unajua ukimuuliza hawezi kukueleza ukweli.

Acha kufuatilia mambo ya siyo kuhusu. Nasema hivyo kwa kuwa yeye hawezi kukuuliza wewe mambo ya posho na salary kwa kuwa wewe haupo ktk system. Pia mtu ukiajiriwa, barua yako ya ajira inaeleza kila kitu. Salary na posho.

Onyo: Acha kupekua maisha ya watu kwani hayatakusaidia.

Yataka moyo kusoma comment kama hizi kwa mleta mada teh teh!!
 
Ila jifunze kujibu swali ambalo mtu ameuliza sio unaenda out of point hata kama anataka kupeleleza wewe tatizo lako ni lipi? kama haujui jibu la swali alilouliza mtu ni vyema tu kukaa kimya kama ni mtihani umeshafeli kama nitakua nimekukwaza samahani maana haikua dhamira yangu
 
Inaonekana huku jamii forum watu wangu hawana busara wala hekima, kama kitu hukijui ni bora ukakaa kimya. Pia tutakutambua kuwa upo. Jamani badilikeni kuwa na mtazamo chanya juu ya mambo mbalimbali
 
msamaha wa nini? ameyataka huyo, makavu laivu
 
Muku, usitudanganye kuwa kuna mtu amekuuliza, wewe sema kuna jamaa amepata kazi hukoo. Sasa unataka kujua kipato chake kwa mwezi maana unajua ukimuuliza hawezi kukueleza ukweli.

Acha kufuatilia mambo ya siyo kuhusu. Nasema hivyo kwa kuwa yeye hawezi kukuuliza wewe mambo ya posho na salary kwa kuwa wewe haupo ktk system. Pia mtu ukiajiriwa, barua yako ya ajira inaeleza kila kitu. Salary na posho.

Onyo: Acha kupekua maisha ya watu kwani hayatakusaidia.

kwenye barua ya ajira wanakupa salary scale yako tuu hawatoi kiwango cha posho...labda hizi barua za mwaka 2015....mwambie kama unafahamu....
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu siwezi kukushangaa ndio mawazo yako na tabia zako unatuelezea humu......ndugu yako tena unaishi nae anaweza kushidwa kukushirikisha swala kama hilo?fikiria wewe kabla ya kucomment..ulichokicomment
 
Yataka moyo kusoma comment kama hizi kwa mleta mada teh teh!!
Umenena ila nikuvumiliana maana tumetoka sehemu tofauti tofauti kwa hiyo watu kama hao lazima wawepo...
 
kwenye barua ya ajira wanakupa salary scale yako tuu hawatoi kiwango cha posho...labda hizi barua za mwaka 2015....mwambie kama unafahamu....
Nashukuru sana kwa mchango wako...
 
Inaonekana huku jamii forum watu wangu hawana busara wala hekima, kama kitu hukijui ni bora ukakaa kimya. Pia tutakutambua kuwa upo. Jamani badilikeni kuwa na mtazamo chanya juu ya mambo mbalimbali
Umemenena ukweli mtupu kabisa....
 
Back
Top Bottom