Huku wenzio wamemaliza CPA wanakosa hiyo Internship wewe kwanini usisome tuu ukamaliza!Habar wanaJF,
Nina tafuta permanent au internship katika Auditing firms nina soma CPA kwa sasa na ni vzur hyo Auditing firms iwe maeneo ya Posta.
Nina ijua Tally accounting package kwa Implementation na technical.
Ahsanteni.
mkuu mbona unamkatisha tamaa ndugu yetu nafikiri haujafanya vizuriHuku wenzio wamemaliza CPA wanakosa hiyo Internship wewe kwanini usisome tuu ukamaliza!
Mkuu ndo hali halisi hiyo ya Nchi yetu.mkuu mbona unamkatisha tamaa ndugu yetu nafikiri haujafanya vizuri
Ila ni marufuku kukata tamaaMkuu ndo hali halisi hiyo ya Nchi yetu.
INGIA KATIKA WEBSITE ZAO: PWC, EARNEST YOUNG(E&Y), DELLOITE n.k au ingia list of audit firms NBAA, chukua contacts fanya application huku ukijieleza utawezaje kufanya kazi huku unasoma, maana audit firm zinabana sana. Jaribu, the first job me nilipata kwa njia hii.Habar wanaJF,
Nina tafuta permanent au internship katika Auditing firms nina soma CPA kwa sasa na ni vzur hyo Auditing firms iwe maeneo ya Posta.
Nina ijua Tally accounting package kwa Implementation na technical.
Ahsanteni.
Ok thanks mungu akujalie.INGIA KATIKA WEBSITE ZAO: PWC, EARNEST YOUNG(E&Y), DELLOITE n.k au ingia list of audit firms NBAA, chukua contacts fanya application huku ukijieleza utawezaje kufanya kazi huku unasoma, maana audit firm zinabana sana. Jaribu, the first job me nilipata kwa njia hii.