jaman mi ni mwaminifu sana tu,mbona unaongea kwa waswas.nipe hyo kazi ndug yang usijaji kabla hata ya kuniona au kufanya kazi na wew ndug yang.mung atakubarik.
Jamani wale mliomuahidi kazi huyu binti tafadhali msaidieni, maana kwa wale tunaomwamini Mungu ahadi inakuwa deni kwa yule uliyemwahidi hata kwa Mungu mpaka hapo utakapo itimiza. Binti usikate tamaa endelea kufuatilia.
Inaelekea uko so desperate! pole sana. Uko mkoa gani/unaishi wapi? Aidha nunua daily news ya 6/3 au mwananchi ya 7/3 NIMR wametangaza kazi na wanatafuta mtu wa professional yako.
Inaelekea uko so desperate! pole sana. Uko mkoa gani/unaishi wapi? Aidha nunua daily news ya 6/3 au mwananchi ya 7/3 NIMR wametangaza kazi na wanatafuta mtu wa professional yako.