Ng`wanakidiku JF-Expert Member Joined Apr 18, 2009 Posts 1,195 Reaction score 232 Mar 1, 2012 #1 Hotuba ya Jana ya Mh. Dr Jakaya iliweka wazi mambo kibao tuliyodanganywa kwa makusudi na waTz wenzetu, na leo katema cheche juu ya wanunuzi wa korosho! Bravo JK! Eti na mimi nawasilisha!
Hotuba ya Jana ya Mh. Dr Jakaya iliweka wazi mambo kibao tuliyodanganywa kwa makusudi na waTz wenzetu, na leo katema cheche juu ya wanunuzi wa korosho! Bravo JK! Eti na mimi nawasilisha!
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Mar 1, 2012 #2 kwanza cfanyagi mapenzi na siasa... pili cmpendi huyo daktari hapo juu... vikiondoka ivo viwili ntachangia..
kwanza cfanyagi mapenzi na siasa... pili cmpendi huyo daktari hapo juu... vikiondoka ivo viwili ntachangia..
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Mar 1, 2012 #3 BAGAH said: kwanza cfanyagi mapenzi na siasa... pili cmpendi huyo daktari hapo juu... vikiondoka ivo viwili ntachangia.. Click to expand... Hivi huyo JK alipewa udaktari wa mapenzi au ukilaza. Msaada tafadhali
BAGAH said: kwanza cfanyagi mapenzi na siasa... pili cmpendi huyo daktari hapo juu... vikiondoka ivo viwili ntachangia.. Click to expand... Hivi huyo JK alipewa udaktari wa mapenzi au ukilaza. Msaada tafadhali
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Mar 1, 2012 #4 SI unit said: Hivi huyo JK alipewa udaktari wa mapenzi au ukilaza. Msaada tafadhali Click to expand... SI unit tukianza ilo ujue ndo tumeharibu uzi wa mtu... maana ni topic ndef... labda uianzishe aise...
SI unit said: Hivi huyo JK alipewa udaktari wa mapenzi au ukilaza. Msaada tafadhali Click to expand... SI unit tukianza ilo ujue ndo tumeharibu uzi wa mtu... maana ni topic ndef... labda uianzishe aise...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Mar 1, 2012 #5 siasa chit chat ni kututafutia bansen bana za makusudi bure.
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Mar 1, 2012 #6 Kongosho said: siasa chit chat ni kututafutia bansen bana za makusudi bure. Click to expand... mine muda wa bills bado...? utabanikwa ni bora uende,leo kila unapogusa kero!LOL
Kongosho said: siasa chit chat ni kututafutia bansen bana za makusudi bure. Click to expand... mine muda wa bills bado...? utabanikwa ni bora uende,leo kila unapogusa kero!LOL
Ng`wanakidiku JF-Expert Member Joined Apr 18, 2009 Posts 1,195 Reaction score 232 Mar 2, 2012 Thread starter #7 Kongosho said: siasa chit chat ni kututafutia bansen bana za makusudi bure. Click to expand... Ama kweli! umenikumbusha mwl mmoja form one "there are many many apparatus in the laboratory, one of is bansen bana!!!...
Kongosho said: siasa chit chat ni kututafutia bansen bana za makusudi bure. Click to expand... Ama kweli! umenikumbusha mwl mmoja form one "there are many many apparatus in the laboratory, one of is bansen bana!!!...