luisajr JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 270 Reaction score 85 Jun 21, 2014 #1 Je cc tuloishia form 4 zpo ? Maana tunaona wenye degree n diploma tu
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,284 Jun 21, 2014 #2 Style yako hiyo ya kutafta kazi unategemea upate kazi gani?? Watu mliokuja jf mwaka huu mna vipost vya ajabu ajabu, ngoja nirudi reddit tu....
Style yako hiyo ya kutafta kazi unategemea upate kazi gani?? Watu mliokuja jf mwaka huu mna vipost vya ajabu ajabu, ngoja nirudi reddit tu....
F FORWARD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 740 Reaction score 296 Jun 21, 2014 #3 luisajr said: Je cc tuloishia form 4 zpo ? Maana tunaona wenye degree n diploma tu Click to expand... Jiongeze ndugu , hata ukiwa na degree kupata kaz ni inshu.. bora uwe na ujuz haswa kama wa Engineering, Surveying hata ya diploma inaweza kukutoa ...ila form four labda uongezee na cheti cha NIT ili uombe kaz za udereva Serikalini.
luisajr said: Je cc tuloishia form 4 zpo ? Maana tunaona wenye degree n diploma tu Click to expand... Jiongeze ndugu , hata ukiwa na degree kupata kaz ni inshu.. bora uwe na ujuz haswa kama wa Engineering, Surveying hata ya diploma inaweza kukutoa ...ila form four labda uongezee na cheti cha NIT ili uombe kaz za udereva Serikalini.
luisajr JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 270 Reaction score 85 Jun 21, 2014 Thread starter #4 Dreson4 said: Style yako hiyo ya kutafta kazi unategemea upate kazi gani?? Watu mliokuja jf mwaka huu mna vipost vya ajabu ajabu, ngoja nirudi reddit tu.... Click to expand... Asante sana kwa maneno ya busara
Dreson4 said: Style yako hiyo ya kutafta kazi unategemea upate kazi gani?? Watu mliokuja jf mwaka huu mna vipost vya ajabu ajabu, ngoja nirudi reddit tu.... Click to expand... Asante sana kwa maneno ya busara
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,215 Jun 21, 2014 #5 mmm....jf inakoelekea sijui kaka tutafika...kama mada ni za mtindo huu.