Udereva!
Mkuu mimi nina diploma ya marketing lakini pia ni dereva wa moja wa kati ya mashirika hapa nchini umri wangu ni 32 ila namshukuru mungu nimeachieve karibia 75% ya ndoto zangu.
Udereva unalipa mkuu kimtindo.
Mkuu kazi kwa Tanzania we pambana ufanye kazi kwenye Taasisi za umma kama TPA,TBL na Bodi za serikali huko ndiko kuna mishahara ya kutisha degree kuchua l
M4 kawaida tu certifice tu laki5.5.Afu unaweza fika ofisini ukasaini na kusepa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.