Kazi french foreign legion.

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Nimepitia websit yao hawa French foreign legion,nikakuta matangazo kwamba wao wana recruit watu kutoka mataifa mbalimbali kwa ajili ya kua askari katika jeshi hilo la kifaransa (LEGIONIERS) katka ofisi zao za ufaransa.
Kitu kizuri nilichogundua ni kwamba wanaajiri watu muda wowote bila kujali sana elimu yako,kwa yoyote mwenye taarifa zaidi juu yao atujue tafadhali.
Naomba kuwasilisha.
 
Hao ni wale mercenaries ambao France huwa inatuma kwa nchi za FracnAfrique kuleta vurugu na coup huko kama Mali na CAR.
 
tuwekee hiyo tovuti
 
Habari zenu..ningependa mniunganishe na hao jamaa nikaombe kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…