Kuajiliwa = kuajiliwaWadau naomba kuuliza kuhusu upatikanaji wa Kazi Dubai ...Kazi ZA kuajiliwa plus mkataba sio ZA mtaani... Na Kama kuna agent ambao wana saidia kupata Kazi basi itakuwa fresh ukinijuza. Mana nachek Google naona site ZA matapeli kibao.
Sawa MkuuMhh binafs hata sikushaur uende au utafute kazi huko tafuta hapa bongo ni bora hata uuze karanga kule hakuna kazi kama huna elimu ya kutosha hapafai inakua si kazi bali ni adhabu
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Apo nime kusoma MkuuShida kubwa ya Dubai ni kuwa kazi zao nyingi wanataka mtu akiwa Dubai already
na matangazo yapo meengi ila wanaweka namba za simu tu zaidi kwenye magazeti yao
ukipiga unaitwa ukifaulu interview unaanza kazi kesho yake
kama uko serious tafuta namna uende
kazi zipo nyingi tu
utakuta Wakenya tele na wahindi na wapakistan
wahindi wao wanaitana na kukaa na ndugu zao
kazi ikitokea tu wanawapeleka
Sasa wewe umejuaje kama mleta mada hana elimu ya kutosha??!!Mhh binafs hata sikushaur uende au utafute kazi huko tafuta hapa bongo ni bora hata uuze karanga kule hakuna kazi kama huna elimu ya kutosha hapafai inakua si kazi bali ni adhabu
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu ngoja ni ku pmSasa wewe umejuaje kama mleta mada hana elimu ya kutosha??!!
Dubai kazi zipo Mkuu kama utazitafuta,Wageni kibao wanafanyakazi huko,kuanzia Waafrika,Wazungu,WaIrani,Walebanoni na mataifa mbalimbali tu,tatizo kubwa Dubai kwa wageni ni House rent na health care ndio expensive kidogo,Mkuu ukipata fursa usiache,piga kazi japo miaka 3 ukirudi Bongo unaanzisha mradi wako,
Pia jaribu kucheki Qatar,huko wanalipa vizuri zaidi compare na dxb,ningejua umri wako na aina ya kazi unayotafuta ingekuwa vizuri zaidi Mkuu,Cheki pia Abudhabi pako vizuri pia.
Poa Mkuu.Sawa mkuu ngoja ni ku pm
Wadau naomba kuuliza kuhusu upatikanaji wa Kazi Dubai, Kazi za kuajiliwa plus mkataba sio za mtaani.
Na Kama kuna agent ambao wana saidia kupata Kazi basi itakuwa fresh ukinijuza.
Mana nachek Google naona site za matapeli kibao.
Kakwambia anaenda kutafuta kazi haendi kuomba ukimbizi, hebua wacha uhayawani huo!kama kuna kazi dubai jiulize kwanini wa syria wanakimbilia europe waki risk maisha yao waache enda kwa ndugu zao dubai.