Kazi anayo

Lakini anahaki ya kumwambia aondoke la sivyo hawezi ku-concentrate
 
Daah! Hadi huruma kwani ule uwepo wake tu waeza sababisha vilivyomo kichwani kwa huyo jamaa vyote vikapotea.

Japo upande wa pili huyo msimamizi kuweka kambi hapo ni neema kwa wanafunzi wenzake. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama yuko vizuri hata angezungukwa na walimu wa faculty au school nzima atakuwa vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…