Hello, wasiliana nami nitafanya hiyo kazi. Ninazo live websites za vyuo nilizokwishafnya. Call me on 0767659145, 0787659145, 0620246040Anahitajika web developer haraka sana. Awe na uwezo wa kufanya coding from scratch ili atengeneze website ya chuo yenye muonekano kama hii hapa (bofya linki)
Website ya pages si zaidi ya kumiBethel Seminary | Bethel University
Bethel Seminary is an evangelical seminary offering relevant degree programs through campuses in St. Paul and online.www.bethel.edu
Website iwe interactive yaani iwe na kipengele cha online application
Kama una ujuzi huo wasiliana na mhusika WhatsApp 0628 766 445
Lazima Uwe na :
samples za kazi/website ambazo umewahi kudevelop
Loction ya ofisi
Moja kwa moja sema bajeti yako
Mode ya ulipaji
Any related info
thubutucoding from scratch
Wabongo bwana, umeambiwa coding from scratch unaleta ngonjera za theme duuh!!dha, mda wa ku code UI ni bora mtu ununue theme alafu ucode back-end na UI ikiwa ni lazima .
Angaliahii theme
ukiipenda njo tuongee
back end itakua kwenye ruby on rails
Cc Stefano MtangooAnahitajika web developer haraka sana. Awe na uwezo wa kufanya coding from scratch ili atengeneze website ya chuo yenye muonekano kama hii hapa (bofya linki)
Website ya pages si zaidi ya kumiBethel Seminary | Bethel University
Bethel Seminary is an evangelical seminary offering relevant degree programs through campuses in St. Paul and online.www.bethel.edu
Website iwe interactive yaani iwe na kipengele cha online application
Kama una ujuzi huo wasiliana na mhusika WhatsApp 0628 766 445
Lazima Uwe na :
samples za kazi/website ambazo umewahi kudevelop
Loction ya ofisi
Moja kwa moja sema bajeti yako
Mode ya ulipaji
Any related info
Shukrani boss. Unfortunately sitakuwa na nafasi ya kuifanya. Hopeful atapata developer mzuri!
dhu ngonjera tena?Wabongo bwana, umeambiwa coding from scratch unaleta ngonjera za theme duuh!!