sijaona ubaya, si amependa boga bwana kwa nn maganda asiyapende?
she's only insecure.
Nampenda lizzy kweli naomba niongee nae kwenye simu kama yuko karibumapenzi= wivu+ wivu
huyo dada si mlaumu ana wivu na mpenzi wake
na kitu kizuri na chakawaida ( usizidi lakini)
daah sababu ambazo nafikiri ni hizi
1. huyo kaka kweli anamtaka mdogo mtu
2. anataka kuona reaction ya Girlfriend wake
3.kachokana na G/F wake anatafuta sababu ambazo
zitamrahisisha kucheza mbele
4. masifa tu ...
Nampenda lizzy kweli naomba niongee nae kwenye simu kama yuko karibu
Aaahaa jamani nataka kuongea nae kidoncho tu.mmmhhhh
itabidi niondoke na sikio mmoja ...
usicheze na mdogo yangu ...
ni zaidi ya Tanzanite kwangu ..
Aaahaa jamani nataka kuongea nae kidoncho tu.
Deal agreed.mmmhhhh
ukweli ni kwamba I trust you
and i trust my sister too
siwezi amini waweza fanya jambo lolote
litakalovunja familia yangu ambayo labda itakuwa yako baada..
kumbuka trust is like a virginity you can only brake it once...
Nampenda lizzy kweli naomba niongee nae kwenye simu kama yuko karibu
Ahaa ahaa unanitafutia kesiOh alafu shem asante kwa ile zawadi uliyonitumia jana..
Wanawake wengine wana Nongwa sana, mfano huyo jamaa angemchukia shem wake pia huyo dada angechonga.
mapenzi= wivu+ wivu