Kayanza nae Yumo

Kayanza nae Yumo

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
attachment.php
 

Attachments

  • kp25082014.jpg
    kp25082014.jpg
    14.6 KB · Views: 849
Huyu atakuwa rais wa kuburuzwa kwani hana ujasiri wa kukemea jambo zaidi ya kulia. Hawezi fanya maamuzi yaitwayo magumu ataturudisha nyuma sana
 
Wameshadharaurisha taaruma yangu ya ualimu, sasa wanataka kuidharaurisha taasisi tya urais! Urais sasa umekuwa ni rahisi sana kwa kila mtu kuutaka kirahisi rahisi tu!
 
kayanza kapinda!!!na atoswe tu ,tumechoka..
 
Tehe! tehe! kwi! kwi! kwi! aahhh! Nimesoma comments zenu zote, nimecheka sana. Mimi namuunga mkono Kayanza, kwanza nafasi yake ameimudu vizuri.
 
Go Kayanza go, najua haya yote yanasemwa kwa kuwa hukuwa "Mamlaka ya uteuzi". Naamini ukiwa ndiyo fully mteuzi utachukua hatua mapema,na uta delegate kwa wasaidizi wako ili wasisubiri mpaka ufike Mpanda ndio uamuzi utoke.
Nipo nyuma yako, huna kasoro
 
Itakuwa nchi ya kilio! Atalia toka Ikulu bungeni hadi. Kwenye mukutano ya waandishi endapo ataulizwa swali gumu!
 
Yeyote atakaye gombea na kayanza ana kula kutoka kwa familia yangu.
 
Pinda yuko poa,cheo cha uwaziri mkuu huwa ni cheo cha lawama.
 
Back
Top Bottom