Barabara ya Morogoro pale Jangwan kumefungwa sababu maji yamefurika na yanapita juu ya daraja.
Hivyo magari yote yanayotoka ubungo kwenda mjini yakifika Magomen mataa yanapitia njia ya kwenda karume
Na hiyo njia imefurika magari.
Na magari ya kwenda Magomen kutokea kinondoni yamezuiwa kwa sababu pale Magomen mataa hakuna nafasi ili yaende njia ya karume.
Kwa wanaoenda mjini
Pitien njia ya kutokea salender inatembea