Inasikitisha sana aiseeAseee watoto wadogo sana wamekulana jana
Misituni
Vichakani
Magetoni
Mpaka nkaogopa sana sijui
Kwahiyo kesho umenitumia kufanya research ya Watoto kulana maporini?Aseee watoto wadogo sana wamekulana jana
Misituni
Vichakani
Magetoni
Mpaka nkaogopa sana sijui
Ulivyowaona ulichukua hatua gnAseee watoto wadogo sana wamekulana jana
Misituni
Vichakani
Magetoni
Mpaka nkaogopa sana sijui
Aani tangu nakua nilikua nikiaona haya mambo mpaka leo hii. Niko kijana naogop hata kuanzisha family maana mambo mengi mno God bless usKwahiyo kesho umenitumia kufanya research ya Watoto kulana maporini?
Anyway mitandao ya kijamii imeharibu pakubwa sana
Mwanadamu unastaajabu hayo? Angalia huku...Ya
Aani tangu nakua nilikua nikiaona haya mambo mpaka leo hii. Niko kijana naogop hata kuanzisha family maana mambo mengi mno God bless us
Tatizo la Bording na kuachia Matron na Paron na Walimu ndio walee watoto,Habari za sikukuu wapendwa
Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani
Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana na leo nimeshuhudia pairs zaidi ya 20 za watoto miaka 10-15 wakitoana out na kufanya adultery acts(sex,romance,sexy dances etc) kiufupi sijapendezwa haswaa kutokana na sababu kuu 2
a)kulingana na umri wao
b)uharibifu wa mantiki ya christmass((siku ya kumb ya kuzaliwa yesu kristo) japo hili libawahusu na watu wazima ambao siku hii hufanyika (UZINZI) wa hali ya juu
Kumalizia: vuteni muda kidogo mkawapime hao watoto wenu
Kaswende
Kisonono
UTI
HIV
Homa ya ini
Pid
Kansa ya koo
Na kadharika
Muwe na siku njema wazazi
Haya ni matokeo ya Wazazi kuwaachia Walimu majukumu ya malezi ya watoto, Mzazi yuko very busy hana muda wala time, anaona mtoto kuwa Bording ni ujanja. Siku mkija kujua jukumu la malezi kwa mtoto ni la Mzazi na sio mwalimu wala Matron itakuwa too lateAseee watoto wadogo sana wamekulana jana
Misituni
Vichakani
Magetoni
Mpaka nkaogopa sana sijui
Matokeo ya malezisIku hz kila kibinti cha sekondary kina simu hata kama kinatoka familia ya chini
Dunia inaelekea kuzur
nomaHaya ni matokeo ya Wazazi kuwaachia Walimu majukumu ya malezi ya watoto, Mzazi yuko very busy hana muda wala time, anaona mtoto kuwa Bording ni ujanja. Siku mkija kujua jukumu la malezi kwa mtoto ni la Mzazi na sio mwalimu wala Matron itakuwa too late