kauzu zaidi....

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
2pe kicheko cha kauzu zaidi ya daga(KD) mtaani..
naanza

.KD: halo muhudumu naomba pilau tafadhali
MUHUDUMU:ya sh ngap?
.KD: kuna ya sh ngap na sh ngap?
.MUHUDUMU: ya 3000 una nyama ya kawaida mchicha,mchuz,kachumbari ya 1500 una nyama na kachumbari
.KD: kachumbar sh ngap?
.muhudum: hapana kachumbari hatuuz ni bure
.KD :sahani moja ya kachumbari pleas.

DEMU: baby can u gv me 20000sh nime forget my wallet nyumbani.
.KD. take ths 250 back home uchukue your wallet.
 
nimependa kachumbari....
 
Back
Top Bottom